Msanii wa muziki nchini Uganda ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Kyadondo, Bobi Wine amekuja na tamasha lake ambalo litakuwa ni la kihistoria. Tamasha hilo la kila mwaka linalojulikana kwa jina la Kyalenga, kwa mara ya kwanza litafanyika katika Uwanja wa Taifa wa mpira wa miguu nchini humo wa Namboole.
Home » Without Label » Bobi Wine awabipu polisi Uganda, atangaza balaa lingine ‘siogopi, nitaeleza kila kitu jukwaani’
Friday, October 5, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

